Naomba msaada wa haraka, Shingo imekakamaa siwezi kugeuka

Naomba msaada wa haraka, Shingo imekakamaa siwezi kugeuka

Rejea kichwa habari,

Imeanza ghafla kadiri muda unavyozidi kwenda najihisi kichwa kizito na kifua kinabana.
Siwezi hata kuinama.

Nashukuru.

Ungekuwa Karibu Na Francis Cheka Naamini Tatizo Lako Lingetatulika Kwa Haraka Na Upesi Sana Kwani Jamaa Ana Dawa Yake Iitwayo MWEDA.
 
Back
Top Bottom