Naomba msaada wa haraka wakuu

Flammable

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
872
Reaction score
103
Naombe wenye huruma wanisaidie,mm nimechagua vyuo vikuu v3 yaan UDOM,UDSM§DUCE ,Baadaye nikaenda kumalizia vyuo viwil,bt mpaka sasa vyuo nilivyoongeza havionekan kila nikiongeza profile yangu haivionesh lkn vinaonekana vitatu2.Vp hapo cwez kukosa chuo wakat wa SELECTION au NIFANYEJE NA CKU NDO ZNAISHA?Natanguliza shukran kwa wale wenye msaada kwangu na Mungu awabariki
 
. . .tafuta msaada wa watu wa cafe. .msaada wa maneno itakua vgumu xana. .
 
dogo usipanic, punguza jazba chuo utapata tu as long as uwe umefaulu na una sifa zinazohitajika...
shida sio kwenye profile yako bali shida ipo kwenye system ya TCU...
Watu wengi wana tatzo kama lako...
Nadhani watashughulikia tatzo la system yao
 
Kama ulifaulu vizuri hata kama ulijaza kozi moja utachaguliwa tu.
note: kozi uzichaguazo sio lazima utachaguliwa hizohizo.
 
dogo usipanic, punguza jazba chuo utapata tu as long as uwe umefaulu na una sifa zinazohitajika...
shida sio kwenye profile yako bali shida ipo kwenye system ya TCU...
Watu wengi wana tatzo kama lako...
Nadhani watashughulikia tatzo la system yao

Asante mkuu
 
Asante mkuu,bt nimeshaenda cafe wakiongeza zinaonekana zmeingia lkn baada ya mda hazionekan

Jaribu hivi:

1. log in
2.bofya Application
3. ongeza hizo programs
4. tia tick pale chini na usave changes
5. LOG OUT
6. LOG IN
7 bofya My Profile - lazima changes zionekane
8.bofya My Selection Status
9. bofya hapo pekundu: For those with programmes marked "NOT ELIGIBLE or CHECK IN PROGRESS...."
Form Six >> CLICK HERE << to check for eligibility.

LAZIMA UPATE JIBU. KILA LA KHERI
 
je kama umeandikiwa YES kwenye fakat zote ndio nn@flammable
 
imeshindikana mkuu bado kuna vyuo vile vile vitatu
 
imeshindikana mkuu bado kuna vyuo vile vile vitatu

Nenda "CEAR MY APPLICATION" then Log Out halafu u log in na ujaze upya choice ya kwanza hadi ya tano. Kisha weka zile tiki 2 na u SAVE. nenda "My profile" u check kamna bado hazipo

[TD="width: 989"][/TD]
 
Naam,hilo ndo suluhisho.Kuna washkaji nimewafanyia makeke kwa njia hiyo na tumefanikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…