Naomba msaada wa haraka

Naomba msaada wa haraka

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
5,958
Reaction score
2,954
Wapendwa wana jf naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu dawa ainaya PREGABALIN nimeandikiwa dawa hizi jana kutibu maumivu ya kiuno lakini nilipo soma kikaratasi cha maelekezo nimetishika kumeza.

Kilcho nitisha side effect zake tena unaweza ku comit suicide nakadhalika kwahilo si unaweza ukawa chizi jamani

Unatibu moja unapata mapya matan nilimpigia daktari aliye niandikia kwa ushauri zaidi lakini haja nipa ushauri wowote.
 
n Summary
Commonly reported side effects of pregabalin include: infection, tremor, peripheral edema, fatigue, constipation, weight gain, blurred vision, ataxia, dizziness, headache, diplopia, drowsiness, visual field loss, xerostomia, and accidental injury. Other side effects include: sinusitis, amnesia, confusion, cognitive dysfunction, speech disturbance, abnormal gait, edema, neuropathy, abnormality in thinking, arthralgia, vertigo, visual disturbance, weakness, myasthenia, increased appetite, twitching, and amblyopia. See below for a comprehensive list of adverse effects.

Hicho kiuno si uchue na Vick kuliko kuanza kulewa na kuwa zezeta. Lakini inategemea mwili wako. Si wangekulaza ndo wakupe madawa kama haya makali? Mwaya mimi siyo daktari ila na mimi mgonjwa wa mgogo ila hiyo simezi mpaka nisimamiwe na Dr.
 
ahsante ndugu niliogopa sana na nimejaribu kumeza kidonge 1 badala ya 2 kama nilivyo andikiwa nimekuwa nusu zezeta ningemeza vi2 si ndio ningekuwa Zombie kabisa! ombi: nyie madaktari msiwemnatuandikia midawa mikali kwa sifa wakati zisizo kali na madhara makubwa zipo
 
Back
Top Bottom