Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

Mrs minel

Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
65
Reaction score
54
Habari wakuu,

Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote.

Asanteni.
 
Kama kufanya maombi kwa njia ya email huku umelala miguu juu kitandani huwezi basi hutaweza zile six week bila kulala nakuhakikishia jeshi utalikimbia [emoji23]

Kuna huu wimbo mzuri sana jeshini "Mtoto kalilia jeshi mwache atalia mwenyewe × 2"

Jifunze huo wimbo kwanza [emoji23]

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom