Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

Dada yangu pole na shida hiyo lakn ujuwe hapo ulipo hauna uhakika kuwa Kazi utaipata lini,hivyo huwez kuendesha maisha yako kwa michango Siku zote za kusubiri Ajira hivyo nakusihi Fanya hata Kazi za kukusanya taka majumban,kibarua kwa mama lishe ama mahala popote kuwa na akili ya kujishughulisha zaidi kuliko kuomba,mtoto Wa kike kuomba omba tayar n mazingira hatarishi unajiwekea
 
Sawa kaka,nashukuru kwa ushauri wako
 
Humu Jf kupata msaada czani km inawezekana. Utani umejaa humu
 
Ww huna pesa alafu unaona aibu
Ww inabidi ulale njaa siku 3 ili upate akili weka aibu pembeni utafute pesa
Au uamue ukauze K tu coz unalala na mtaji wako daily
Wewe kama sio masikini ni yatima
 
Jishughulishe na kilimo huko huko kwenu piga vibarua hata vya kulima coz kuomba omba sio kuzuri watu watashidwa kukubeba mwisho watakufanya vibaya weka usister duuu pembeni coz huna pesa

Mtu chake trust me
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] roho mbaya hiyo uko kupiga vibarua vya kulima vipi??
Kutoka kushinda kwenye boutique adi kulima jamani khaaaa?!!!
 
Back
Top Bottom