na mim naomba msaada[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125]Mm nipo dsm...subiri nione jinsi gani naweza saidia
Nimeambiwa niwe makini snna mim naomba msaada[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125]
nisaidie bwana mie mtu safi tu[emoji12] [emoji12]Nimeambiwa niwe makini sn
nisaidie bwana mie mtu safi tu[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] bas nimeghair na huo msaada mweehUsafi wako upo kwny mambo gani?!
PM ndo wapi?Kwahiyo ntakutumiaje pesa
Ndo wewe nakuonaga jukwaa la 18+?nisaidie bwana mie mtu safi tu[emoji12] [emoji12]
Sawa kaka,nashukuru kwa ushauri wakoDada yangu pole na shida hiyo lakn ujuwe hapo ulipo hauna uhakika kuwa Kazi utaipata lini,hivyo huwez kuendesha maisha yako kwa michango Siku zote za kusubiri Ajira hivyo nakusihi Fanya hata Kazi za kukusanya taka majumban,kibarua kwa mama lishe ama mahala popote kuwa na akili ya kujishughulisha zaidi kuliko kuomba,mtoto Wa kike kuomba omba tayar n mazingira hatarishi unajiwekea
ndo miyeNdo wewe nakuonaga jukwaa la 18+?
We ni wa motoo [emoji91] [emoji91]ndo miye
We ni wa motoo [emoji91] [emoji91]ndo miye
[emoji15] [emoji15]We ni wa motoo [emoji91] [emoji91]
Wewe kama sio masikini ni yatimaWw huna pesa alafu unaona aibu
Ww inabidi ulale njaa siku 3 ili upate akili weka aibu pembeni utafute pesa
Au uamue ukauze K tu coz unalala na mtaji wako daily
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] roho mbaya hiyo uko kupiga vibarua vya kulima vipi??Jishughulishe na kilimo huko huko kwenu piga vibarua hata vya kulima coz kuomba omba sio kuzuri watu watashidwa kukubeba mwisho watakufanya vibaya weka usister duuu pembeni coz huna pesa
Mtu chake trust me