Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Huku ni full Mauzo, piemu hakuna Mauzo!
Ha haaa kumbe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa kumbe!
Chuga moja
Duh haya..ukifika tar 23 nikumbusheWw kazi yako kwenda kuchukua cheque kila tarehe 24
Lini?ulisema upo Dodoma
Changamkia fursa
Lini?
Mie nimechangamkia fursa gani mkuuKama ww ulivyochangamkia
Mie nimechangamkia fursa gani mkuu
Hebu nitonye basi hyo siri nanimi niijueUnadhani duniani kuna siri
Za leo ndugu zangu,
Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna wengine tunashindwa jihusisha na mambo yasiyo na maadili ili kujipatia kipato, kwani ninaamini kheri kuomba msaada unapokwama kuliko kujificha na kufa na njaa.
Ombi langu kwenu wenzangu, msaada wa kiasi chochote cha pesa ili kusukuma siku wakati nikiendelea kufuatilia ajira. Kwa yeyote atakaeguswa nipo tayari kuweka mawasiliano yangu PM ili kujieleza zaidi.
Mungu awabariki wote watafutaji.
Hebu nitonye basi hyo siri nanimi niijue
Yapi hayo nijulisheMambo unayofanya mwnyw unajifanya huyajui
Yapi hayo nijulishe
Mbeya sehemu gani nikupe mwongozo Hera ya kukusaidia sina ila ushauri upoKwa sasa nipo huku nyanda za juu kusini mbeya, je wewe upo wapi kaka
Haya[emoji40][emoji40][emoji40]
Mbeya maisha rahisi sanambeya....sio mchezo
Nashukuru kwa ushauri,ila nimekuwa nafanya sehemu,ila kwa sasa office imefungwa kwa muda sio moja kwa mojamimi nadhani ungeomba kazi dada angu ata mtu akikupa ela ya kula siku mbili baada ya izo siku tatizo litabaki lilelile pole kwa ayo majaribu dadaake