Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira



Tafadhali weka picha yako bila kudanganya kama mdau yeyote atafika bei.
 
mimi nadhani ungeomba kazi dada angu ata mtu akikupa ela ya kula siku mbili baada ya izo siku tatizo litabaki lilelile pole kwa ayo majaribu dadaake
Nashukuru kwa ushauri,ila nimekuwa nafanya sehemu,ila kwa sasa office imefungwa kwa muda sio moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…