Nipo kijijini ndani ndani na ninahitaji kununua gari ambayo haitonisumbua kwa mafuta au gereji ya mara kwa mara.
Nimekuwa natamani gari hizi mbili ila sijiu ni ipi sahihi kwangu ambayo haitonisumbua hasa kwa mafuta kati ya Primio cc 1490 na Ist cc1490.