Naomba msaada wa kimawazo juu ya biashara ya makava ya simu na 'screen protector'

The mission 2017

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,748
Reaction score
3,229
Heshima kwenu mashujaa wa Taifa hili.

Ni hivi mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa Tanzania(Moro), Mwaka wa pili nimechoka kulala lala na kushinda kupiga selfie na kuchat instagram, Nimefikilia kuanzisha duka dogo la kuuza screen protector na phone cover kidogo na chupa za maji.

Nimejaribu kukusanya data apa na pale nikaona jf naweza pata msaada mkubwa sana wa kimawazo ya lio hai kuliko ata google, Ningependa kufahamishwa kama kuna maduka ya jumla kwa Dares salaam ambapo naweza kujumua kwa reasonable price, ili niweze kuuza apa MORO.

Nilipata wazo la kuagiza kutoka china kupitia Ali express, wao bidhaa zao zina reasonable price sema cjajua kwa kodi pindi mzgo unapotua bongo, Maana anko Maguu kwa hili hana mchezo.

Mtaji wangu kwa sasa ni laki6, karibuni wadau wenzye uzoefu na bidhaa hizi ama kuagiza itu online.
 
Mm msaada wangu ni kukupeleka dukani
Screen protector tsh1000
3d protector 5000/ inaweza kushuka
5d bado sijauliza
Cover buku 2 hadi 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu mashujaa wa Taifa hili.

Ni hivi mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa Tanzania(Moro), Mwaka wa pili nimechoka kulala lala na kushinda kupiga selfie na kuchat instagram, Nimefikilia kuanzisha duka dogo la kuuza screen protector na phone cover kidogo na chupa za maji.

Nimejaribu kukusanya data apa na pale nikaona jf naweza pata msaada mkubwa sana wa kimawazo ya lio hai kuliko ata google, Ningependa kufahamishwa kama kuna maduka ya jumla kwa Dares salaam ambapo naweza kujumua kwa reasonable price, ili niweze kuuza apa MORO.

Nilipata wazo la kuagiza kutoka china kupitia Ali express, wao bidhaa zao zina reasonable price sema cjajua kwa kodi pindi mzgo unapotua bongo, Maana anko Maguu kwa hili hana mchezo.

Mtaji wangu kwa sasa ni laki6, karibuni wadau wenzye uzoefu na bidhaa hizi ama kuagiza itu online.
The amount of money you possess is enough to purchase phone protector from China and shipping them to TZ without any problem upto your door step just jo to Ali baba you will find many suppplier
 
Absolutely mkuu, tena atanufaika vzuri sana,msingi ni kuondoa uoga, alibaba and aliexpress all can be a good start. Just a tip kila manufacturer itabid uangalie standard of shipping zake mfano aliexpress kuna manufacturer sana free shipping kabisa
 
Back
Top Bottom