The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Heshima kwenu mashujaa wa Taifa hili.
Ni hivi mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa Tanzania(Moro), Mwaka wa pili nimechoka kulala lala na kushinda kupiga selfie na kuchat instagram, Nimefikilia kuanzisha duka dogo la kuuza screen protector na phone cover kidogo na chupa za maji.
Nimejaribu kukusanya data apa na pale nikaona jf naweza pata msaada mkubwa sana wa kimawazo ya lio hai kuliko ata google, Ningependa kufahamishwa kama kuna maduka ya jumla kwa Dares salaam ambapo naweza kujumua kwa reasonable price, ili niweze kuuza apa MORO.
Nilipata wazo la kuagiza kutoka china kupitia Ali express, wao bidhaa zao zina reasonable price sema cjajua kwa kodi pindi mzgo unapotua bongo, Maana anko Maguu kwa hili hana mchezo.
Mtaji wangu kwa sasa ni laki6, karibuni wadau wenzye uzoefu na bidhaa hizi ama kuagiza itu online.