Basil Lema
Member
- Jan 20, 2013
- 86
- 277
Ndugu zangu Amani iwe nanyi.
Mimi si mpitaji sana katika jukwaa hili. Lakini kwa wakati huu ambao mimi ni mhitaji mkubwa wa msaada wa kisheria nimelazimika kutembelea hapa na kuomba nisadiwe ili niwaokoe wengii.
Nilitangaza yapata mwaka mmoja sasa kwamba nitaipeleka serikali mahakamani kutaka ufafanuzi na uamuzi wa mahakama kuhusu kanuni za uchaguzi hasa kuhusu matumizi ya fomu namba 17. Fomu hii inamruhusu mtu ambaye ana shahada ya mpiga kura iliyoharibika au iliyopotea kujitambulisha kwa msimamizi wa kituo na endapo jina lake litakuwa kwenye daftari la mpiga kura, basi mtu huyu ataruhusiwa kupiga kura.
Ni imani tangu kwamba fomu hii ikitumika nchini Tanzania basi mchezo mchafu wa kununua shahada utakufa.
Kwa sasa tayari sehemu kadhaa za Tanzania shahada zinanunuliwa wa kasi kubwa. Hii ni kusema kwamba lengo letu la kuona watu wengi wanapiga kura halitafikiwa.
Nimeamua kwenda mahakamani kwa kutumia hati ya dharura ili hukumu itoke mapema na kunusuru uchaguzi huu wa 2015. Wanasheria naombeni sana msaada wa namna pya kutengeneza document husika za mahakama.
ndugu yenu
Basi Lema