Kuna mtu amevamia eneo langu la shamba hekari 20 na kuharibu miti na kulima shamba hilo, nilifungua kesi ya uharibifu wa mali na uvamizi. Mahakama ilitoa hukumu kwamba nikafungue kesi kwenye Baraza la Ardhi ya kata ili kujua mmiliki halali wa ardhi japokuwa iliwasilisha nyaraka za umiliki halali wa eneo hili. Je nifanyeje wanajf. Kama nilifungua kesi ya madai ya uharbifu lkn hukumu inatoka ya ardhi?