Naomba msaada wa kisheria kati ya mwajiri anapoamua kuvunja mkataba wa kudumu

Naomba msaada wa kisheria kati ya mwajiri anapoamua kuvunja mkataba wa kudumu

BUMBU

Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
19
Reaction score
5
Kuna mzungu aliajiri watanzania wengi kwa mikataba ya kudumu kwa sheria za Tanzania anataka kuivunja na kulipa stahiki za wafanyakazi wote. Tunaomba msaada wenu kisheria Je tunastahili kupewa Mshahara wa miezi mingapi? Hawa Jamaa hawachelewi kusema mwezi mmoja. Nawasilisha.
 
Ahsante kaka nitashukuru kwa msaada utakaonipa.
 
Back
Top Bottom