Jamani huku kwetu Jumatatu tar 9/02/2015 kuna uchaguzi wa CWT wa wawakilishi wa walimu.
Sasa kinachonishangaza mimi ni Mwalimu ambae kwa uanachama ni mwanachama kamili wa CWT, lakini kuna majina ya wapiga kura ambao inadaiwa kuwa ni wale wanaokatwa na CWT tu na ndio watakaopiga kura.
Je, ni kweli kwamba mimi sina haki ya kupiga kura kumchagua mwakilishi wangu? Kwa suala la kukatwa na CWT nilijaza form na bado hawajakata mpaka sasa.