Naomba msaada wa kisheria kuhusu CWT

Naomba msaada wa kisheria kuhusu CWT

G 4real

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
454
Reaction score
212
Jamani huku kwetu Jumatatu tar 9/02/2015 kuna uchaguzi wa CWT wa wawakilishi wa walimu.

Sasa kinachonishangaza mimi ni Mwalimu ambae kwa uanachama ni mwanachama kamili wa CWT, lakini kuna majina ya wapiga kura ambao inadaiwa kuwa ni wale wanaokatwa na CWT tu na ndio watakaopiga kura.

Je, ni kweli kwamba mimi sina haki ya kupiga kura kumchagua mwakilishi wangu? Kwa suala la kukatwa na CWT nilijaza form na bado hawajakata mpaka sasa.
 
G 4real

Japo hujaelezea sana kuhusu kuhusu katiba ya CWT na nammna ya kuwa mwamachama. Pengine kigezo cha kuwa mwanachama ni pale utakapoanza kukatwa.

Fuatilia katiba ya CWT
 
Yaani unalilia kukatwa na CWT au kupiga kura? cjakuelewa mkuuu!

Pole sana.
 
Back
Top Bottom