Nilifanya kazi katika taasisi moja ya serikali kwa Mara ya kwanza nilipewa mkataba wa miezi mitatu, baada ya kuisha nikaongezwa miezi sita.
Hali iliendelea hivyo kila baada ya miezi sita niliongezwa tena miezi sita mpaka imefikia miaka minne na miezi minne kazini baada ya mkataba wa mwisho kuisha nikapewa barua ya kutoongezewa mkataba.
Sikuwahi kwenda likizo hata moja nasikupewa chochote ila Nssf yangu, naomba msaada hii ni sawa kisheria?
Duh hana haki ya likizo wakati mikataba ilikuwa ikiunganishwa?Ni sawa kulingana na aina ya mkataba wako. Kuhusu likizo unatakiwa upate likizo ndani ya miezi kumi na mbili ambayo hyo miezi kumi na mbili ni mwaka 1 na iwe ndani ya mkataba. Hivyo kwa jinsi wewe mikataba yako imekua ni chini ya mwaka hivyo huku paswa kwenda likizo mkuu.
Duh hana haki ya likizo wakati mikataba ilikuwa ikiunganishwa?
Kunyimwa mkataba kunategemea kama kazi yake haipo ni sawa lakini kama ipo na alikuwa anategemea kuongezwa mkataba kama ambavyo imekuwa huko nyuma basi hiyo termination haiko sawa. Suala siyo tu mkataba kuisha ila anatakiwa apewe sababu ya mkataba kuisha. Pia ana haki ya kulipwa severance na nauli ya kurudi kwao
Mkuu rejea kuangalia sheria ya ajira na mahusiano kazi vizuri. Kwanza huenda mkataba wake huo wa miezi sita haukuwa halali kisheria. Sheria ina aina tatu za mikataba: mkataba usiokuwa na muda maalumu (huu ni permanent and pensionable), mkataba wa muda maalum ( sheria inasema huu ni kwa professionals na managerial cadre) na mwisho ni mkataba wa kazi maalum (unaweza kusema kibarua - kazi ikiisha na mkataba unaisha).Kimbunga ukifatilia vizuri ni kwamba hyu mtu mkataba wake ni wa kipindi maalum na mkataba unapofikia wakat kwamba umeisha basi na kama hauitajiki basi hamna,sababu ya mwajiri kurenew tena mkataba na,wewe.
Pia kuhusu malipo ya nauli inategemea makubaliano yaliyopo ktk Mkataba wake wa awali na,si vinginevyo na malipo ya kiinua mgongo yanatakiwa kulipwa kwa kila siku saba zidisha kwa mshahara wake wa siku zidisha kwa miaka aliyofanya kazi. Na malipo hayo yanafanyika kwa mfanyakazi ambae ana miez 12 kamili akiwa kazin ikiwa chini ya hapo hamna malipo ya kiinua mgongo ( ,severance allowance)
Mkuu rejea kuangalia sheria ya ajira na mahusiano kazi vizuri. Kwanza huenda mkataba wake huo wa miezi sita haukuwa halali kisheria. Sheria ina aina tatu za mikataba: mkataba usiokuwa na muda maalumu (huu ni permanent and pensionable), mkataba wa muda maalum ( sheria inasema huu ni kwa professionals na managerial cadre) na mwisho ni mkataba wa kazi maalum (unaweza kusema kibarua - kazi ikiisha na mkataba unaisha).
Kuhusu nauli ni kwamba sheria inataka alipwe. Najua unafahamu kwamba ELRA inatoa minimum security and rights na mikataba kati ya mwajiri na mwajiriwa haitakiwi kuwa chini ya viwango vilivyowekwa na sheria. Hivyo makubaliano yoyote lazima yawe na haki ya mfanyakazi kulipwa nauli ama compensation ikiwa mkataba wake utakatishwa legally.
Kama makubalino hayana nauli ama compensation basi itabidi sheria ifuatwe. Mfano mwingine ni kwamba sheria inasema baada ya kufanya kazi miezi 12 inabidi mtu apewe angalau siku 28 za kupimzika (likizo yenye malipo), hivyo basi hii ya 28 ni lazima kwa mujibu wa sheria ila kunaweza kuwa na makubaliano am apo mtumishi anaweza kupewa siku nyingi za likizo kwa mwaka mfano siku 35; sheria haikatazi ila inakataza kupewa chini ya siku 28.
Waajiri wengi wanatumia mikataba kuwanyonya wafanyakazi, lakini kwa suala kama hili ambapo mkataba wake umekuwa ukiwa renewed continuously, jamaa atakuwa na hoja ya kuprove unfair termination na atalipwa ama kuwa reinstated.
Mkuu rejea kuangalia sheria ya ajira na mahusiano kazi vizuri. Kwanza huenda mkataba wake huo wa miezi sita haukuwa halali kisheria. Sheria ina aina tatu za mikataba: mkataba usiokuwa na muda maalumu (huu ni permanent and pensionable), mkataba wa muda maalum ( sheria inasema huu ni kwa professionals na managerial cadre) na mwisho ni mkataba wa kazi maalum (unaweza kusema kibarua - kazi ikiisha na mkataba unaisha).
Kuhusu nauli ni kwamba sheria inataka alipwe. Najua unafahamu kwamba ELRA inatoa minimum security and rights na mikataba kati ya mwajiri na mwajiriwa haitakiwi kuwa chini ya viwango vilivyowekwa na sheria. Hivyo makubaliano yoyote lazima yawe na haki ya mfanyakazi kulipwa nauli ama compensation ikiwa mkataba wake utakatishwa legally.
Kama makubalino hayana nauli ama compensation basi itabidi sheria ifuatwe. Mfano mwingine ni kwamba sheria inasema baada ya kufanya kazi miezi 12 inabidi mtu apewe angalau siku 28 za kupimzika (likizo yenye malipo), hivyo basi hii ya 28 ni lazima kwa mujibu wa sheria ila kunaweza kuwa na makubaliano am apo mtumishi anaweza kupewa siku nyingi za likizo kwa mwaka mfano siku 35; sheria haikatazi ila inakataza kupewa chini ya siku 28.
Waajiri wengi wanatumia mikataba kuwanyonya wafanyakazi, lakini kwa suala kama hili ambapo mkataba wake umekuwa ukiwa renewed continuously, jamaa atakuwa na hoja ya kuprove unfair termination na atalipwa ama kuwa reinstated.
Nilifanya kazi katika taasisi moja ya serikali kwa Mara ya kwanza nilipewa mkataba wa miezi mitatu, baada ya kuisha nikaongezwa miezi sita.
Hali iliendelea hivyo kila baada ya miezi sita niliongezwa tena miezi sita mpaka imefikia miaka minne na miezi minne kazini baada ya mkataba wa mwisho kuisha nikapewa barua ya kutoongezewa mkataba.
Sikuwahi kwenda likizo hata moja nasikupewa chochote ila Nssf yangu, naomba msaada hii ni sawa kisheria?
Je sheria anatakiwa kupewa hela ya kusafiri au anatafutiwa usafiri na mwajiri?Ana haki hata kama mkataba wake wa awali ungeisha na boss wake akaamua kutofunga naye mkataba mwingine. Kisheria mwajili alifanya uhuni kama walivyosema wadau hapo juu na hivyo mkataba wake ni void
Umesema sawa kaka mkubwa.Mkuu rejea kuangalia sheria ya ajira na mahusiano kazi vizuri. Kwanza huenda mkataba wake huo wa miezi sita haukuwa halali kisheria. Sheria ina aina tatu za mikataba: mkataba usiokuwa na muda maalumu (huu ni permanent and pensionable), mkataba wa muda maalum ( sheria inasema huu ni kwa professionals na managerial cadre) na mwisho ni mkataba wa kazi maalum (unaweza kusema kibarua - kazi ikiisha na mkataba unaisha).