Nilifanya kazi katika taasisi moja ya serikali kwa Mara ya kwanza nilipewa mkataba wa miezi mitatu, baada ya kuisha nikaongezwa miezi sita.
Hali iliendelea hivyo kila baada ya miezi sita niliongezwa tena miezi sita mpaka imefikia miaka minne na miezi minne kazini baada ya mkataba wa mwisho kuisha nikapewa barua ya kutoongezewa mkataba.
Sikuwahi kwenda likizo hata moja nasikupewa chochote ila Nssf yangu, naomba msaada hii ni sawa kisheria?