Naomba msaada wa kisheria nataka anzisha kampuni

josewatano

Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
59
Reaction score
26
wadau nataka kuanzisha kampuni ya udadali wa kuuza na kununua bahatai mbaya miye siyo mwana sheria nilikuwa naomba msaada wa kimawazo ya kisheria nianzie wapi ili kampuni ya ngu isije kutana na wajanja wajanja ikapotelea pasipo julikana
 
Mkuu wasiliana na Wakili yeyote, lipa ada inayotakiwa, kisha upate huduma inayotakiwa!
 
Nenda BRELA utatuma splication latter kuhusu campuniyako.wakikucomferm utasmbiwa ulipie pia utaambiwa usndike memorandum, hii inahusu jina la kampuni,objectives,capital you have,location of the campany namengineyo. Utasubmit then utakipia vitu vingine paka usajili utakamilika. Note mamboyote ya usajili ni BRELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…