Naomba msaada wa kisheria

Naomba msaada wa kisheria

damashizo

Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
61
Reaction score
15
Naomba kuuliza nifanye nini ili ningie kwenye siasa wakati nikiwa bado mtumishi wa umma coz kadri ya siku zinavyoenda naona ndoto ya kuwa mwanasiasa inaniingia akilini but nataka nianze taratibu nikiwa bado mtumishi wa umma.
 
Unaweza kujiingiza kwenye siasa lakini pale utakapotaka kugombea uongozi unaohitaji full time commitment utalazimika kuachia ajira yako lakini incase uongozi hauhitaji full time commitment bas unaweza kuendelea na ajira yako.
Note: Sheria haikuruhusu kuingia kwenye siasa na bado ukawa mtumishi wa umma hata kama ni part time kama wewe ni mwajiriwa wa idara yoyote inayohusika na ulinzi na usalama. mf: Jeshi, polisi, magereza nk.
 
Back
Top Bottom