Unaweza kujiingiza kwenye siasa lakini pale utakapotaka kugombea uongozi unaohitaji full time commitment utalazimika kuachia ajira yako lakini incase uongozi hauhitaji full time commitment bas unaweza kuendelea na ajira yako.
Note: Sheria haikuruhusu kuingia kwenye siasa na bado ukawa mtumishi wa umma hata kama ni part time kama wewe ni mwajiriwa wa idara yoyote inayohusika na ulinzi na usalama. mf: Jeshi, polisi, magereza nk.