Baba yangu amemteketeza mama yangu na kwa sasa anauza mali za familia kuna shamba la hekali 400 linataka kuuzwa je mama achukue hatua gani kisheria kuepusha uuzaji wa ilo eneo? Na vile vile yupo tayari kutengana nae ili nae afaidike na mali waliochuma pamoja hatua za kisheria tafadhari wadau