kwetu mtama
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 160
- 25
Dadangu kaachika mwaka jana ila kabla ya ndoa yake akimkuta mwenzake kwenye ndoa, mume hakuwa na kitu (nyumba na baadhi ya mali) walipangisha na kutafuta kila walichonacho sasa hv, wana nyumba nzur na yakisasa,wanabiashara...kabla ya talaka shemeji alikuwa akisika UPATI KITU nikikuacha....dada ana elimu ya kutosha kufuatilia ili na ata hajui aanzie wapi? Kakaake niko mbali na nyumbani kikazi..Je sheria inasemaje kwa ili? Wapi pakuanzia ili apate haki yake?