Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi.
Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu.
Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu zangu Maisha nyumbani yalikuwa mwake Sana, atukuwahi kukosa chochote. Mzee alihakikisha Mambo ni Safi. Nyumbani Tulikuwepo mimi dada yangu na my two stepbrothers, Maisha yalikuwa ya furaha na amani.
Fast forward 2003 Tulitenganishwa na mama kwa sababu ambazo mimi mpaka leo siziamini na ni ambazo zimebeba kumbukumbu za maumivu makubwa Sana kwangu.
Baba aliugua kwa kumbukumbu zangu za utoto, Alipata mardhi ya miguu na mengine ambayo mpaka leo huwa naambiwa ni siri na hayanihusu mimi ni mtoto tuu.
Walifika Ndugu mjini wakakomba kila kitu walichoacha ni kaka zangu upande wa mama, sisi wawili tulisongwa kama wanyama baba yangu Mgonjwa asijue afanye nini, alikuwa akilia tuu.
Nakumbuka Ilikuwa njia panda mfano wa herufi T Mama alisimama chini Sisi tukiwa juu Ilikuwa kama kilimani hivi huku akilia kwa uchungu mkubwa na sisi pia tukilia Sana, Safari ya Moshi ilianza.
Tulipokelewa vizuri lakini kwa udogo wangu nilijua mambo siyo sawa. Ni kama vile tulipelekwa jela kubadilishwa tabia na mtazamo, maumivu makali, mateso n.k, mambo ambayo yamenifanya..
Guys kwa mlioelewa please im seeking professional help naumia mno, nashindwa hadi kuendelea.
Mtapata shida nikiwa nimekufa wanangu na siyo nikiwa hai.
Miss you dad.