Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kidonda gani mkuuBro Im trying , Ila maumivu bado yapo na kidonda kuna muda kinauma , haswa haswa kipindi cha baridi kali au nikinyeshewa na mvua .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidonda gani mkuuBro Im trying , Ila maumivu bado yapo na kidonda kuna muda kinauma , haswa haswa kipindi cha baridi kali au nikinyeshewa na mvua .
Ahsante father.Ahsante brothrza pole sana kwa uliyoyapitia, unapitia kitu kinachoitwa stigma, kikizidi kinaleta maumivu yanayoitwa stigmata, haya sasa ni maumivu ya kweli na sio maumivu ya stigma.
Unahitaji tiba za aina 3
1. Physiology treatment
2. Physiology treatment ya psycho therapy
3. Spiritual treatment and holistic treatment.
Mimi japo ni Msukuma ila Singida inanihusu maana Mzee wangu alioa Mwanamke wa Kinyiramba na mambo ya huko nayajua.
Unaumia sana kwasababu ya lack of knowledge nini kilimpata your dad hadi akafa, was it natural sickness or mambo yetu yale!.
1. Stigmata inahitaji hospital treatment.
2. Stigma inahitaji psycho therapy ambayo tayari umeianza bila kujijua, kitendo tuu cha kufunguka humu ni a very heavy load imeitua.
3. Kama kifo cha baba ni mambo yetu yale, unaweza ukawa unaumia kwasababu your dad huku alipo anateseka, hivyo spiritual and holistic treatment itakusaidia hadi kuongea nae what had happened na ukiujua ukweli utapona
Tembelea mitaa hii itakusaidia Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
P
pia tembelea "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo! ujitibu mwenyewe.Nimekuelewa bro , Ngoja nipitie Huo uzi
pole sana,pia hongeraNiliyoyapitia yananifanya niwe mtu wa huruma Sana na kujitoa kuliko uwezo esp pale mtu anapokuwa na tatizo kama ninao msaada , I give it all at the end naonekana boya.. muda mwingine najisahau mimi binafsi .
Sir I'm not fond of talking my personal issues in here. I barely spoke those things aboveCriston Cole andika kitu bro
PolePole sana mkuu...Bora hata wewe unammiss dad wako, mimi nikimpigia ndio kwanza ananiuliza wewe nani 😅
Pole Love Mungu atakupa farajaJinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi.
Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu.
Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu zangu Maisha nyumbani yalikuwa mwake Sana, atukuwahi kukosa chochote. Mzee alihakikisha Mambo ni Safi. Nyumbani Tulikuwepo mimi dada yangu na my two stepbrothers, Maisha yalikuwa ya furaha na amani.
Fast forward 2003 Tulitenganishwa na mama kwa sababu ambazo mimi mpaka leo siziamini na ni ambazo zimebeba kumbukumbu za maumivu makubwa Sana kwangu.
Baba aliugua kwa kumbukumbu zangu za utoto, Alipata mardhi ya miguu na mengine ambayo mpaka leo huwa naambiwa ni siri na hayanihusu mimi ni mtoto tuu.
Walifika Ndugu mjini wakakomba kila kitu walichoacha ni kaka zangu upande wa mama, sisi wawili tulisongwa kama wanyama baba yangu Mgonjwa asijue afanye nini, alikuwa akilia tuu.
Nakumbuka Ilikuwa njia panda mfano wa herufi T Mama alisimama chini Sisi tukiwa juu Ilikuwa kama kilimani hivi huku akilia kwa uchungu mkubwa na sisi pia tukilia Sana, Safari ya Moshi ilianza.
Tulipokelewa vizuri lakini kwa udogo wangu nilijua mambo siyo sawa. Ni kama vile tulipelekwa jela kubadilishwa tabia na mtazamo, maumivu makali, mateso n.k, mambo ambayo yamenifanya..
Guys kwa mlioelewa please im seeking professional help naumia mno, nashindwa hadi kuendelea.
Mtapata shida nikiwa nimekufa wanangu na siyo nikiwa hai.
Miss you dad.
Don't be sorry ma'am coz I'm not.Pole
SawaDon't be sorry ma'am coz I'm not.
Whats wrong that?our love and passion varies.Dad instead of father [emoji848]... mwanaume na ndevu zako unamuita babaako hivi
Ndiyo mkuu , Dad ... My dad ..Dad instead of father [emoji848]... mwanaume na ndevu zako unamuita babaako hivi
Nahis anachomaanisha kwamba ili neno sku hizi limegeuzwa Dad imekuwa Daddy! If you know what I meanNdiyo mkuu , Dad ... My dad ..
Papaa baba ,
Kuna tatizo kiongozi
Hii ni ngumu kumeza lakini ndo ukweli... now days watu hawajali maumivu yako zaidi watakutumia ka fursaNo one cares, work harder.
My parents got divorced when i was only two years old, the best revenge you can take is to do ur kids the opposite of what your parents did.Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi.
Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu.
Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu zangu Maisha nyumbani yalikuwa mwake Sana, atukuwahi kukosa chochote. Mzee alihakikisha Mambo ni Safi. Nyumbani Tulikuwepo mimi dada yangu na my two stepbrothers, Maisha yalikuwa ya furaha na amani.
Fast forward 2003 Tulitenganishwa na mama kwa sababu ambazo mimi mpaka leo siziamini na ni ambazo zimebeba kumbukumbu za maumivu makubwa Sana kwangu.
Baba aliugua kwa kumbukumbu zangu za utoto, Alipata mardhi ya miguu na mengine ambayo mpaka leo huwa naambiwa ni siri na hayanihusu mimi ni mtoto tuu.
Walifika Ndugu mjini wakakomba kila kitu walichoacha ni kaka zangu upande wa mama, sisi wawili tulisongwa kama wanyama baba yangu Mgonjwa asijue afanye nini, alikuwa akilia tuu.
Nakumbuka Ilikuwa njia panda mfano wa herufi T Mama alisimama chini Sisi tukiwa juu Ilikuwa kama kilimani hivi huku akilia kwa uchungu mkubwa na sisi pia tukilia Sana, Safari ya Moshi ilianza.
Tulipokelewa vizuri lakini kwa udogo wangu nilijua mambo siyo sawa. Ni kama vile tulipelekwa jela kubadilishwa tabia na mtazamo, maumivu makali, mateso n.k, mambo ambayo yamenifanya..
Guys kwa mlioelewa please im seeking professional help naumia mno, nashindwa hadi kuendelea.
Mtapata shida nikiwa nimekufa wanangu na siyo nikiwa hai.
Miss you dad.
Kidonda gani tena? Inaonekana hujamaliza kuandika au?? Btw pole sanaBro Im trying , Ila maumivu bado yapo na kidonda kuna muda kinauma , haswa haswa kipindi cha baridi kali au nikinyeshewa na mvua .