hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel
Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya
Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu
Sasa simpati kwenye simu na Sina mtu ambae namjua anaemjua
Swali langu ni je hakuna means yoyote ambayo inaweza kutumika nikampata hata mtu/watu ambao alikuwa anawasiliana nao ?
Possibly wao wakawa wanamjua hata kwake au kwao
Shukrani