Naomba msaada wa kitaalamu kuhusu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi

Acha kabisa, nilishawahi kuingia pharmacy na kuvua nguo wanichome sindano hapo nimetapika sana kisa tumbo tu nilioni hospitali sifiki. Baada ya kuchoma diclofenac likapoa nikarudi home mzima 😀😀😀😀
Hatari sana
Kuna ndugu yangu mmoja akiingia period utadhani amerogwa ni anagalagala balaaa. Nilisikia wanawake wanaosumbuliwa na Mp kiasi hiko kuwa wakishabeba unazitoa to case solved

Cc Smart911
 
Inategemeana na mtu aisee, mimi na Dada zangu mpaka leo bado tunaumwa na tumezaa, mmoja anatoa kizazi maana amechoka yaani maumivu ni makali sana na amezaa kawaida.
Hili tumbo kuna wakati linakamata hata kutembea siwezi
Poleni sanaa, karibu tukupatie tiba asili zitakazokusaidia kupambana na changamoto hiyo.
Tatizo hilo linatibika
0656303019
 
Natumaini kwamba itakuwa ni siku njema kwenu zangu wakubwa kwa wadogo. Naomba kuwasilisha hoja yangu kwa maelezo yafuatayo:

Nina dada yangu wa miaka 25 anasema kuwa huwa anapata maumivu ya tumbo wakati anapokuwa kwenye siku zake za desturi (hedhi) na ameongeza kuwa amejaribu kutafuta tiba lakini hali bado haijabadilika.

Lakini pia kwa mujibu wake amesema kuwa wapo waliomwambia kwamba itakuwa ni ngumu kwake kushika ujauzito kutokana na tatizo hilo.

Ninacho hitaji kutoka kwenu ni msaada wa maelezo ya kitaalamu kuhusu jinsi ya kupata matibabu ya uhakika kwa kumuelekeza hospitali, dawa au kwa namna yoyote ile nzuri na ya kitaalamu ili niweze kumsaidia mgonjwa wangu.

Samahani ikiwa nimekosea kuwasilisha taarifa kutokana na makosa ya kiundishi au upangiliaji wa hoja na maelezo.

Niwatake kazi njema na siku yenye amani, usalama na furaha.

Tatizo hilo linasuluhisho kwasababu Shida hiyo inasababishwa na vitu vingi yawezekana ni hormonal imbalance, lifestyle au hajawahi kusafisha mwili so taka na sumu zimejaa no inapelekea hedhi kwenda vibaya kutopata ujauzito n.k
 
Back
Top Bottom