Naomba msaada wa kitaalamu kuhusu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi

Acha kabisa, nilishawahi kuingia pharmacy na kuvua nguo wanichome sindano hapo nimetapika sana kisa tumbo tu nilioni hospitali sifiki. Baada ya kuchoma diclofenac likapoa nikarudi home mzima πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hatari sana
Kuna ndugu yangu mmoja akiingia period utadhani amerogwa ni anagalagala balaaa. Nilisikia wanawake wanaosumbuliwa na Mp kiasi hiko kuwa wakishabeba unazitoa to case solved

Cc Smart911
 
Inategemeana na mtu aisee, mimi na Dada zangu mpaka leo bado tunaumwa na tumezaa, mmoja anatoa kizazi maana amechoka yaani maumivu ni makali sana na amezaa kawaida.
Hili tumbo kuna wakati linakamata hata kutembea siwezi
Poleni sanaa, karibu tukupatie tiba asili zitakazokusaidia kupambana na changamoto hiyo.
Tatizo hilo linatibika
0656303019
 

Tatizo hilo linasuluhisho kwasababu Shida hiyo inasababishwa na vitu vingi yawezekana ni hormonal imbalance, lifestyle au hajawahi kusafisha mwili so taka na sumu zimejaa no inapelekea hedhi kwenda vibaya kutopata ujauzito n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…