Naomba msaada Wa kitaalamu

Naomba msaada Wa kitaalamu

asmaluqman

Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
27
Reaction score
22
Nini sababu ya kichwa kuuma upande Wa mbele kulia kuzunguka jicho kuja juu kidogo ya nyusi.
 
Nini sababu ya kichwa kuuma upande Wa mbele kulia kuzunguka jicho kuja juu kidogo ya nyusi.
mkuu utakuwa na tatizo la macho na kipandauso dawa yake ni ndogo tu kunyw maji ya kutosha mkuu pia kapime macho
 
Back
Top Bottom