Naomba msaada wa kitabibu

God bell

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Posts
590
Reaction score
210
Nimekuwa nikinywa kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya mzeituni (olive oil) kila siku niamkapo kabla ya kula kitu chochote. na nimeona mafanikio makubwa sana kwa afya yangu.

Je kuna madhara yoyote nitapata niendelea kuyatumia haya mafuta kwa kunywa kila siku?
 
Kwanza orodhesha mafanikio uliyoyapata baada ya kutumia hayo mafuta then tuendelee na swali lako.
 
Nilikuwa na shida ya kutopata choo vema lakini sasa hivi niko poa, maumivu ya tumbo pamoja na kujaa gas yameisha, uchovu wa mwili bila sababu umeisha, macho yalikuwa yanatoa machozi na kuuma kama nimewekewa pilipili lakini siasikii tena. Nimeyafanya haya mafuta ya ya zeituni kama lotion ya kujipaka mwilini na mwilini na ngozi sasa hivi imekaa vizuri mno.
Hayo ndo mafanikio niliyoyaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…