God bell
JF-Expert Member
- May 13, 2011
- 590
- 210
Nimekuwa nikinywa kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya mzeituni (olive oil) kila siku niamkapo kabla ya kula kitu chochote. na nimeona mafanikio makubwa sana kwa afya yangu.
Je kuna madhara yoyote nitapata niendelea kuyatumia haya mafuta kwa kunywa kila siku?
Je kuna madhara yoyote nitapata niendelea kuyatumia haya mafuta kwa kunywa kila siku?