CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Kwema wataalam?
Nilinunua Premio ya 1.8 L kwa mdau mmoja, shida ilikuwa ni tairi za mbele kugonga na pia ukiwasha AC inakuwa kama kuna kamlio ka nyaya kama kugusana hivi...kama msikiavyo Nyaya za umeme.
Halafu pia unapowasha tu Engine ni kama sterling kwa mbali inakuwa na mtikisiko, mpaka uconcertrate kuangalia na kushika.
Pamoja na kwamba Nafahamu natakiwa nipeleke kwa Fundi, nimekuja kwenu ili nipate uzoefu wenu katika haya, kabla sikaenda kupigiwa Ramli na mafundi.
Karibuni wakuu, na Ningependa kufanya kazi na Fundi yoyote anayeamini ana uwezo mzuri wa kusaidia.