Kamba yako ya accelerator imekatika; kijana wangu aliwahi kukutana na tatizo hilo usiku wa manane akiwa kwenye highway nikaneda kumsaidia kwa kufunga accelerator katika position ya gea 1 moja mpaka alipofika nyumbani ambapo tuliweza kubadilisha kamba hiyo kwa kutumia kamba ya breki za baiskeli. Unaweza kutumia kamba ya breki za baiskeli badala ya kutafuta kamba origino inayoweza kuwa ni ghali zaii ya ile kamba ya breaki za baiskeli.