Wadau poleni kwa pilika pilika za kutwa, Mimi naomba msaada Nina gari langu aina ya Isuzu trooper , nimepatwa na tatizo la accelerator peddle haipigi race , ina maana ukikanyaga peddle inavutia chini kabisa tena ni baada ya sekunde Fulani kupita na unaponyanyua mguu ili ukanyage kanyage kama vile unapiga race haipokei naomba msaada wenu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app