Naomba msaada wa kiutabibu

Naomba msaada wa kiutabibu

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Ni kama wiki 3 sasa toka niugue,nilipoteza maji mengi kwa kuhara kwa cku 3,nikalazwa kwa cku 4 na kuwekewa drip 19,... madrip 13 ya maji,1 la glucose na 5 za dawa mbalimbali.Shida inakuja,nimesha pona tatizo lipo mgongoni,nahisi nyama zinavuta kuelekea katkat ya mgongo,cjui ni misuli...Na ndani ya mapaja nyama zinabana kwenda ndani,na shingoni ivo ivo.Mikono nikinyosha vidole,nyama za kiganjani zinauma na kuvutika.Wataalamu msaada wenu!
 
Back
Top Bottom