Naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuandika Business Proposal

Naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuandika Business Proposal

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Heshima kwenu!

Naomba msaada wa kuelekezwa Jinsi ya kuandika Business Proposal! Ni Chuo kinatakiwa kujengwa sasa nahitaji kuandaa hio kitu Msaada tafadhari!
 
Naitaji namba ya mtaalamu wa kuandika business proposal plan, its urgently
 
Was 2015 Leo ni 2018, hivyo nadhani ni outdated post
 
Back
Top Bottom