Utakufa siku si zako.Kwa nini usiende rufiji ulime shamba?
Unaweza kufika mahala ukajuta kwa nini ulifanya hivyo. Njia za panya watu wanpiga boda kwa boda kila wakifika mpaka wa nchi na nchi istoshe huko prini mara nyingi wanakuwa kukindi halafu kila mtu anakuwa on his own,m kuvuka mito hatari porini, kukamatwa na maaskari, kuteswa na wenyeji wa maeneo husika na ukibahatika kuingia unajikuta kesho yake umepandishwa ndege ya bure au umepelekwa gerezani kusubiri kurudishwa.
Part two watu wa kule hasa wabongo siku hizi hawana ushirkiano kama zamani na istoshe chuki za waenyeji kwa wageni zimekuwa kubwa sana kiasi kwamba huwezi pata ushirikiano kirahisi
Ingekuwa bora una jamaa yako huko anakwambia njoo angalau ungeanzia hapo.
Ushauri wangu, hiyo nauli tafuta kuku wa mayai, au anzisha biashara ya chips mahala itakulipa na hutajuta