HB.com
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 608
- 639
Habari JF.. Naomba msaada wenu ndugu zangu nataka kwenda South Africa kutafuta maisha, naomba kufahamu gharama mpaka kufika huko iwe kihalali au kwa njia za panya (hasa hasa hii).
Nauli mpaka kufika huko ni kiasi gani, Mazingira baada ya kufika huko yakoje?
Changamoto ya maisha ipoje huko,
Nauli mpaka kufika huko ni kiasi gani, Mazingira baada ya kufika huko yakoje?
Changamoto ya maisha ipoje huko,