Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

Njiwa wangu

Senior Member
Joined
Dec 5, 2020
Posts
146
Reaction score
289
Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
 
Ni kitu kigumu labda watu wachukue pesa yako!.
 
Back
Top Bottom