mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Dumb professor,hahaha hili jina lako limenichekesha sana but any way hata kama wanalipwa laki 5 bado ni hela nyingi kwa walinziWale walinzi wanalipwa laki 5 acha uongo
Dumb professor,hahaha hili jina lako limenichekesha sana but any way hata kama wanalipwa laki 5 bado ni hela nyingi kwa walinziWale walinzi wanalipwa laki 5 acha uongo
Walinzi wote wa makumpuni makubwa g4s, garda, sga wanalipwa hela iyoDumb professor,hahaha hili jina lako limenichekesha sana but any way hata kama wanalipwa laki 5 bado ni hela nyingi kwa walinzi
kuna walimu wapo wanauvuka huoDuuh kuna watu wanalipwa pesa mingiiiiiiiii.
2M, mshahara wa miezi mitano(5) kwa mwalimu wa Diploma, miezi zaidi ya sita(6) kwa Mwalimu wa Cheti.
sidhani kama wanavuka laki 3Walinzi wote wa makumpuni makubwa g4s, garda, sga wanalipwa hela iyo
Wewe unaongelea mwalimu au lecturer?kuna walimu wapo wanauvuka huo
Infact wapo walimu wanaopata huo mshahara ila wachacheWewe unaongelea mwalimu au lecturer?
Na pia sio allowance zote zitakatwa kodi, inategemea na bajeti iliyotumika soma namba 11 kwenye attachment zimekua excludedAiseee...
1. Malipo ya overtime yanatofautiana kulingana na shirika. Sijaju serikalini, maana hujasema kama ni serikakini au private.
2. Gross pia hutegemea na malupu lupu mengine, mfano nyumba, usafiri, n.k..sasa kupata gross ni lazima ujumlishe na hayo malupu lupu mengine, so wewe ndio unayajua, sisi hatuyajui hivyo ni ngumu kutaja au kukuambia gross salary yako.
3. Always NSSF ni 10% of your basic salary.
4. Kujua kiwango cha net salary, ni lazima tujue kama kuna contribution zingine zinakuwa deducted from your salary, mfano malipo ya mkopo, uchangiaji kwenye mifuko ya vyama vya wafanyakazi n.k
5. PAYE inakokotolewa soon after ku deduct passions fund, so chukua basic yako, toa pension fund, Jumlisha ma hayo malupu lupu menigne, figure utakayopata kaiingine kwenye kikokotoo kwenye website ya TRA utapata majibu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Labda unaongelea wale walimu waliopanda cheo wakawa Afisa Elimu au ni mkuu wa shule na ameshatumikia kazi kwa miaka 30 hapo sawa.Infact wapo walimu wanaopata huo mshahara ila wachache
Labda unaongelea wale walimu waliopanda cheo wakawa Afisa Elimu au ni mkuu wa shule na ameshatumikia kazi kwa miaka 30 hapo sawa.
Endelea kutodhani. Gross Wengi wanaanzia 400 ila akifanya mda nrefu inafika adi 700.sidhani kama wanavuka laki 3
Sijui na sihitaji kujua.mnapenda kuongelea kazi za wengine kwa ujumla sana. Eti aliyefanya kazi miaka 30!!!
No wonder hujui hata utaratibu wa utumishi wa umma jinsi mtu anavyopanda vyeo
Watu ambao wamekosa kazi serikali mna sumbua sana kujadili maisha ya watumishi. Jikite kwenye maisha yako binafsi sio kujadili maisha ya wengine brother.Sijui na sihitaji kujua.
Hapa huu mjadala upo kwa mapana hawajaguswa walimu tu peke yake sielewi sijui kwa nini umepaniki.
Mbona wahasibu hawajapaniki,security hawajapaniki,Engineers hawajapaniki.
Hiyo shida uliyonayo inaitwa inferiority complex
Mada imeanzishwa na mtoa mada ili ijadiliwe sasa nashangaa unakuja kunitolea povu mimi una tatizo gani mzee.Watu ambao wamekosa kazi serikali mna sumbua sana kujadili maisha ya watumishi. Jikite kwenye maisha yako binafsi sio kujadili maisha ya wengine brother.
Kwanini unaandika uongo mitandaoni ?Mada imeanzishwa na mtoa mada ili ijadiliwe sasa nashangaa unakuja kunitolea povu mimi una tatizo gani mzee.
Kwani umekariri kila mtu anataka kufanya kazi serikalini?huko wanaendaga watu waoga wasiojiamini si kila mtu anaridhika na mazingira ya huko
Mwalimu aliye kazini kwa muda gani?Duuh kuna watu wanalipwa pesa mingiiiiiiiii.
2M, mshahara wa miezi mitano(5) kwa mwalimu wa Diploma, miezi zaidi ya sita(6) kwa Mwalimu wa Cheti.
Tafiti kwa muda wako update kujua zaidi. Walinzi wapo zaidi ya tunavyojua kikawaidasidhani kama wanavuka laki 3
Wapo walimu wana salary scale hiyo. Tumia muda kutafiti utafahamu na utashangaa zaidi ya unavyoshangaa.Wewe unaongelea mwalimu au lecturer?
uongo upi?Kwanini unaandika uongo mitandaoni ?
???Unabaki na shilingi 15,000,000/-