Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

Na pia sio allowance zote zitakatwa kodi, inategemea na bajeti iliyotumika soma namba 11 kwenye attachment zimekua excluded
 
Attachments

  • Screenshot_20250615_101532_Chrome.jpg
    394.7 KB · Views: 21
mnapenda kuongelea kazi za wengine kwa ujumla sana. Eti aliyefanya kazi miaka 30!!!

No wonder hujui hata utaratibu wa utumishi wa umma jinsi mtu anavyopanda vyeo
Labda unaongelea wale walimu waliopanda cheo wakawa Afisa Elimu au ni mkuu wa shule na ameshatumikia kazi kwa miaka 30 hapo sawa.
 
mnapenda kuongelea kazi za wengine kwa ujumla sana. Eti aliyefanya kazi miaka 30!!!

No wonder hujui hata utaratibu wa utumishi wa umma jinsi mtu anavyopanda vyeo
Sijui na sihitaji kujua.
Hapa huu mjadala upo kwa mapana hawajaguswa walimu tu peke yake sielewi sijui kwa nini umepaniki.
Mbona wahasibu hawajapaniki,security hawajapaniki,Engineers hawajapaniki.
Hiyo shida uliyonayo inaitwa inferiority complex
 
Watu ambao wamekosa kazi serikali mna sumbua sana kujadili maisha ya watumishi. Jikite kwenye maisha yako binafsi sio kujadili maisha ya wengine brother.
 
Mada imeanzishwa na mtoa mada ili ijadiliwe sasa nashangaa unakuja kunitolea povu mimi una tatizo gani mzee.
Kwani umekariri kila mtu anataka kufanya kazi serikalini?huko wanaendaga watu waoga wasiojiamini si kila mtu anaridhika na mazingira ya huko
 
Kwanini unaandika uongo mitandaoni ?
 
Kuna walinzi wanalipwa 1.2 M tatizo lako ni ubishi tu. Kuna watu wamemaliza la 7 miaka hiyo wanakula mpaka 1.5M na mtu katoka tu VETA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…