Naomba msaada wa kujua program ya kupunguza picha

Naomba msaada wa kujua program ya kupunguza picha

MANJUCHUMAMBO

New Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari Wadau naomba msaada kwa yule anayefahamu programe ambayo itanisaifia kupunguza picha za passport size kwa wingi mara moja mpka 4KB ambayo NECTA wanazitaka kwenye usajili wao wa kidato cha pili na cha nne.... kwani natumia PHOTOSHOP SC3 ambayo napunguza picha mojamoja kwahiyo inapa shida
 
Back
Top Bottom