kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 900
- 1,923
Habari Wakuu,
Kichwa Cha Habari Hapo Juu Chahusika, Ni Mtumishi Nipo Kanda Ya Ziwa.
Tunahitaji Archives Boxes Kwajili Ya Matumizi Ya Ofisi
Naomba Kusaidiwa Anwani ya Mzabuni Ambaye Anatambulika na GPSA( Government Procurement Service Agency)
Natanguliza Shukran.