Naomba msaada wa kunifadhili katika Masomo

Naomba msaada wa kunifadhili katika Masomo

edwin kitange

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Plz kwa jina naitwa Edwin Daniel,ninajitokeza mbele yenu kuomba msaada kwani cna sehemu nyingine ya kutegemea..Mimi ni mtoto wa 6 na wa mwisho katika familia yangu na kwa bahati mbaya ndugu zangu hawakufanikiwa kusoma mpaka elimu za juu..Mimi ctaki kuwa kama ndugu zangu,nilihitimu elimu ya form iv mwaka 2009 Kiteto sec.School nikarudia mtihani mwaka 2011 nikapass kiasi.Sikukata tamaa nikapata mfadhili akanilipia nikarudia mtihani mwaka 2013 na nikafaulu vizuri.. Mpaka sasa nimekuwa nikitafuta msaada sana bila mafanikio.Plz guyz atakaeguswa na hili suala # yangu ni 0715273789 anitafute.Sms zitajibiwa pia,na msaada wa mawazo pia nitashukuru sana!! Asanteni..
 
Wafuate viongozi wa dini yako. Pia unataka kusoma nini mana maelezo hayaleti ushawishi wa mtu kukusaidia. Ingekuwa vzr ungeweka ufaulu wako hapa ili watu wakusaidia kitu cha kusoma.
 
watakupigia tu uu jamaa yeti
Angalizo mchezo huu upo sana hapa JF hivyo ni vigumu kuaminiana tena
ukiona kimya jaribu kwenye Makanisa km ulivyoshauriwa
 
Wafuate viongozi wa dini yako. Pia unataka kusoma nini mana maelezo hayaleti ushawishi wa mtu kukusaidia. Ingekuwa vzr ungeweka ufaulu wako hapa ili watu wakusaidia kitu cha kusoma.

Nna div III ya 25.Combination zangu ni za masomo ya Arts!!
 
watakupigia tu uu jamaa yeti
Angalizo mchezo huu upo sana hapa JF hivyo ni vigumu kuaminiana tena
ukiona kimya jaribu kwenye Makanisa km ulivyoshauriwa

Thanx ndugu ila elewa kuna wanaofanya mchezo kuandika ishu kama hizi kwenye mitandao,but kuna wengineo tunakuwa tunahitaji msaada kweli..Mimi cjaomba msaada wa pesa pekee bali hata ushauri nnaopata pia nashukuru!!!
 
kama utaweza nenda tawi lolote la CRDB bank wanatoa mikopo ya elimu ila sijajua taratibu za kuurudisha.Jaribu na ondoa hofu kama unataka mafanikio kwa lolote.

Asante ndugu,ntajaribu kufuatilia japo mara nyingi nackiaga wanatoaga mikopo kwa watu wa elimu za juu!!! Nashukuru kwa ushauri wako!!!
 
SCHOLARSHIP @ www.samamagafoundation.org/apply. Deadline: May 29, 2015. For More inquiries call: 08034622690, 08174364192, 09036804381🙂..

hii nimeitoa whatsapp mkuu....so kama unaweza jaribu kuwasiliana nao. ila kumbuka mwisho terehe 29 mwezi huu.
 
Charity begin at home Je viongozi wa dini au mahali unapotoka wamegoma kukusaidia anza na huko kwanza
 
Kwanini usiingie Education tu ukapata pakujishikiza kwanza mana four 25 then arts ni majanga kwa kweliiii
 
Kwanini usiingie Education tu ukapata pakujishikiza kwanza mana four 25 then arts ni majanga kwa kweliiii

Hilo nalo pia ni wazo zuri,tatizo ni kwamba financial sipo vizuri ndugu! Nlifikiria nikaona nikipiga advance may be Mungu akijalia nikaja kupata mkopo mambo yatakaa vizuri!!
 
states zilizoorodheshwa ni za Nigeria tu na hawa watu kwa cybercrime wamebobea ...tuwe makini.
Computer crime, or cybercrime, is any
crime that involves a computer and a
network.[1] The computer may have
been used in the commission of a crime,
or it may be the target.[2] Netcrime is
criminal exploitation of the Internet,
inherently a cybercrime.[3] Dr. Debarati
Halder and Dr. K. Jaishankar (2011)
define Cybercrimes as: "Offences that
are committed against individuals or
groups of individuals with a criminal
motive to intentionally harm the
reputation of the victim or cause
physical or mental harm, or loss, to the
victim directly or indirectly, using
modern telecommunication networks
such as Internet (Chat rooms, emails,
notice boards and groups) and mobile
phones (SMS/MMS)".[4] Such crimes
may threaten a nation’s security and
financial health.[5] Issues surrounding
these types of crimes have become
high-profile, particularly those
surrounding hacking, copyright
infringement, child pornography, and
child grooming. My point is dat,uckurupuke na kumjudge mtu mwingine kutokana na mambo yaliyoshajitokeza! Kila mtu ana shida zake na inabidi umuhukumu pale akutendeapo kosa tu!! Nahic kaka/dada kwa uelewa kidogo nlokuwa nao umemaanisha moja wapo ya vitu vilivyoko hapo juu! Believe me ningekuwa najiweza wala hata huku nisingejitokeza na kama kujitokeza ningeomba hela pasipo hata msaada wa mawazo!!! Kaa, tulia then ujifikirie kingekutokea ww kinachonitokea mimi afu me nikatokea na kukujibu hivyo ungejisikiaje??? Be honest,bt huo pia ni mtazamo wangu.No hard feeling ndugu yangu!!!
 
Back
Top Bottom