Naomba msaada wa kupata nyaraka hizi tafadhali

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Habari,

Husika na mada tajwa kwenye heading. Ninahitaji hizi nyaraka
Nahitaji.

1. Circular Letters 1999 - 2020

2. Public Service Act & Regulations

3. Employment & Regulations act 2004.

Kwa ajili ya marejeo na maarifa zaidi.
Shukrani!!
 
 

Attachments

Hizo tittle hazijitosherezi! Ongeza particulars zaidi!!
1. Circular Letters 1999 - 2020 kihusu nini?

2. Public Service Act & Regulations ya mwaka gani
 
Unahitaji format au sample ?
 
Mbona zipo mtandaoni?

Unapata hata kwa bando la buku.

Kuna circulars zilizounganishwa.
Lakini pia nakupa code kwamba kuna website inaitwa tovuti kuu ya serikali ya Tanzania. Address ni www.tanzania.go.tz.

Ina nyaraka na sheria kibao za JMT.

Utaliwa sana ukiwa mjinga.
 
Naona ushabanwa mahali unatafuta sheria za utumishi wa umma. Kama una urafiki na mkuu yeyote wa idara unaweza kuipata kiurahisi. Kama unataka standing order nikutumie
Haupo mbali sana na ukweli,nakuja pm Mkuu
 
Shukrani sana Mkuu,na inayofuata tafadhali kama unayo naomba nipate,then tuwasiliane pm Mkuu.
 
Hopefully utanisaidia kuzipata Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…