Naomba msaada wa kupata (plummy nut) au chakula dawa

sai255

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
19
Reaction score
7
Naomba kwa yeyote Ambae anaweza kunisaidia kupata hizo karanga au chakula dawa.

Hiki chakula kinatolewa kwa watoto wenye malnutrition hakika ni msaada mkubwa sana, ila kwasasa hapa bongo hazipatikani kiurahisi kwasababu zilikuja kwa ufadhili, nguvu kubwa imepelekwa sudan, congo na somalia.
 
Hauna connection yoyote ?nipate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…