Unafaa kwa data entry,customer care na sales kama kwenye tigo,voda,airtel n.k . Jaribu kufuatilia humo. Pia Nbc wakati mwingine wanachukua watu kama wenye elimu kiwango chako,angalia miezi hii na kuendelea japo sijui kama mwaka huu wanampango huo. Pia tuma application yako Access bank tanzania,uwe unachungulia pia web yao,
www.AccesswBank.com pia huwa wanahitaji form6. Jaribu hata Mamlaka ya vitambulisho vya taifa,tafuta webpage yao maana mwaka huu wanaweza kuhitaji data entry clerks. Kwa yote haya,sijakuhakikishia kuwa kuna kazi ila ni bora ujaribu. Pia kama una soft copy ya Cv,nitumie ili nijaribu kukutafutia nitakapoona ila ukipigiwa simu au email ujitambulishe kama wewe ndo uliomba wala si mimi. Tuma
gsana6@gmail.com. Mkuu ila usipoitwa popote usinilaumu maana mimi sitoi kazi pia kumbuka na urasimu uliopo Tanzania, tufanye kujaribu tu. Kumbuka kuweka email kwenye cv. All the best kijana.