KABONYELLA KELVIN Member Joined Feb 3, 2014 Posts 31 Reaction score 42 Jan 7, 2020 #1 Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee Sent using Jamii Forums mobile app
fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,042 Reaction score 2,221 Jan 7, 2020 #2 Bearings kwisha nenda kwa mechanics hata wa chini ya mti wakubadilishie
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Jan 7, 2020 #3 Tafuta fundi mkuu kazi rahisi hata tairi haifungui anakurekebishia faster Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta fundi mkuu kazi rahisi hata tairi haifungui anakurekebishia faster Sent using Jamii Forums mobile app
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Feb 18, 2021 #4 KABONYELLA KELVIN said: Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mrejesho Kaka? Shida ilikua nini
KABONYELLA KELVIN said: Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mrejesho Kaka? Shida ilikua nini
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Feb 23, 2021 #5 Mlolongo said: Mrejesho Kaka? Shida ilikua nini Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha ha kawaida ya wabongo, wanaomba msaada wanasidiwa maelekezo kisha wanapotea bila mrejesho.
Mlolongo said: Mrejesho Kaka? Shida ilikua nini Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha ha kawaida ya wabongo, wanaomba msaada wanasidiwa maelekezo kisha wanapotea bila mrejesho.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Feb 24, 2021 #6 KABONYELLA KELVIN said: Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ipatie vitamin D pamoja na kuiweka juani kila asubuhi.
KABONYELLA KELVIN said: Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ipatie vitamin D pamoja na kuiweka juani kila asubuhi.