KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrejesho Kaka? Shida ilikua niniJamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha kawaida ya wabongo, wanaomba msaada wanasidiwa maelekezo kisha wanapotea bila mrejesho.Mrejesho Kaka? Shida ilikua nini
Ipatie vitamin D pamoja na kuiweka juani kila asubuhi.Jamani wataalamu gari yangu aina ya Alteza inamatege kwenye tyres za nyuma. Inakula upande wa ndani tatizo nini aisee
Sent using Jamii Forums mobile app