Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasema sasa tatizo la gari lako lilikua ni nini??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asanteni sana kwa ushauri we shukrani,Gari ishapona...
tatizo ilikuwa nini? please nasi tupate elimuAsanteni sana Gari imepona shukrani kwa mawazo yenu....
mbona lugha chafuWw ngoja nikupotezew tuu naona unazingua nimesema hapo nozzle zilikuwa na shida...
Sasa umekataa nini na umefanya nini hapa.....?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ni nozzle zilikuwa zina shida....
Ramli yangu inaniambia kuwa gari yako inachemsha hivyo ili kulinda engine inabidi izime. Hakikisha mishale ya temperature inafanya kazi vizuri otherwise utaua engine. Kwa sasa ni hilo au angalia kama ina charge. Angalia dashboard usiangalie skirt tu barabaraniHabarini Kwema !!!, na gari yangu aina ya Toyota Brevis nilinunua kwa mtu hii gari shida yake kubwa nikiwa naiendesha inazima tu gafra yani cjajua shida nn mana nilinunua mwezi wa 6 mwaka huu ilikuwa vzr tu.
Nilisafiri nayo kutoka Njombe kwenda Kyela kutoka kyela kwenda Dodoma nikatoka Dodoma nikaja nayo Dar ilikuwa poa tuu ila now nipo Dar kimara Suka ndo imeanza niletea manjegeka haya msaada....Nahitaji fundi mzuri wa kuweza kuni fixia hi gari yangu...
Vijana wa siku hizi vichwa vyenu havipo sawa, sijui ni maisha yanawachanganya akili hadi mnakuwa na jazba muda wote au basi ni damu chafu m'merithi kwenye koo zenu kujibu watu harsh bila sababu za msingi.Nikwambie ili iweje na wakati msaada nishapata itakuwa haina maana kuelezea tatizo ambalo lishatatuliwa...
Mmmh pole sana mkuuMsaada jaman na gari langu aina ist nlkua naendesha kuna mda illikua inazima lkn Leo natoka nyumbani asbh naelekea kazn gafula likazma na haliwaki tena linapokea moto ila ndo haliwaki